Bosi wa timu ya United Jose Mourinho anajiandaa kutumia kiasi cha pauni millioni 160 kuhakikisha kwamba anawasa washambuliaji hao kwa ajili ya kuongeza kasi katika safu ya ushambuliaji ya timu hiyo.
United kumwaga pesa kuwasajili Griezman na Lukaku
Manchester United wanajiandaa kufanya kufuru kwa kuwasajili Griezman na Lukaku katika uhamisho wa majira ya joto.