Barkely mwenye umri wa miaka 22 atuzwa na Everton katika majira ya joto ikiwa hatasaini mkataba mpya na klabu hiyo huku mkataba wake wa sasa ukielekea ukingoni katika klabu hiyo
Arsenal itakutana na upinzani mkubwa kutoka kwa klabu za Chelsea na Tottenham ambazo nazo zinafukuzia saini ya mshambuliaji huyo.