Imeripotiwa kuwa Chelsea imeweka dau la pauni millioni 100 ilikuishawishi Everton kuwaachia nyota hao wawili kujiunga na miamba hiyo.
Chelsea imekuwa ikihusishwa kwa mda mrefu kutaka kumchukua Barkley lakini safari hii inaweza ikafanikiwa kufanya hivyo pamoja nakumrudisha mshambuliaji wake wa zamani Romelu Lukaku