Kauli ya Courtois aliitoa katika ya mahojiano na vyombo vya habari baada ya mechi ya robo fainali ya kombe la FA dhidi ya Manchester United Stamford Bridge walipoifunga Manchester United 1-0
Coutois abeza taarifa kuhusu kuondoka chelsea
Kipa namba moja wa Chelsea Thibout Courtois amebeza taarifa zinazomusisha kuihama klabu ya Chelsea mwishoni mwa msimu huu.Courtois amekuwa akihusisha na mpango wa kujiunga na klabu ya Real Madrid ya Hispania kwa siku za hivi karibuni lakini amesema hataondoka katika dirisha la usajili la majira ya joto mwaka huu kujiunga na miamba hiyo kama inavyodaiwa.