Bosi huyo wa zamani wa Chelsea amesema kuwa hatamzuia mchezaji yeyote atakaye taka kuihama klabu hiyo.
Taarifa hiyo imekuja baada ya baadhi ya nyota wa klabu hiyo David De Gea, Ander Herrera pamoja na Zlatan Ibrahimovic kuripotiwa kutaka kuondoka katika majira ya joto.