Kocha wa Real Madrid yupo katika hatari ya kufukuzwa kazi endapo atashindwa kuipatia Real Madrid taji lolote msimu huu.
Presha ya kufukuzwa kwa Zinedine Zidane iliongezeka baada ya kipigo kutoka kwa Barcelona na hivyo kutolewa nafasi ya kwanza na mahasimu wao hao kwa tofauti ya magori licha ya Barcelona kuwa mbele mchezo mmoja zaidi ya Madrid.
Real Madrid wanatakiwa kushinda mchezo wao wa kiporo dhidi ya Celta Vigo ilikujiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa taji la La Liga