Ratiba ya mechi za UEFA hatua ya nusu fainali

Mechi za mkondo wa kwanza zitachezwa Mei 2&3, marudiano itakuwa  Mei 9&10
Mei 2: Real Madrid vs Atletico Madrid
Mei3: Monaco vs Juve
Mei9: Juve vs Monaco
Mei10: Atletico vs Real Madrid
Fainali itachezwa Cardiff tarehe 3 mwezi wa sita