Matokeo draw ya UEFA hatua ya Nusu fainali
Mabingwa watetezi wa UEFA Real Madrid wamepangwa kukutana na Atletico Madrid kwa mara ya pili mfululizo katika hatua ya nusu fainali baada ya draw iliyochezeshwa mchana huu huku Juve wao wakipangwa kumenyana na Monaco.