Arsenal sokoni kumfukuzia Rui Patricio

Klabu ya Arsenal imeingia sokoni kumuwania kipa namba moja wa Ureno na klabu ya Sporting Cp Rui Patricio.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka RMC Sport imeripotiwa kuwa Arsenal wanaangalia uwezekano wa kumsajili kipa huyo mahiri aliyeisaidia timu yake ya Taifa ya Ureno kushinda taji la UERO mwaka jana na tayari Arsenal wanajiandaa kutoa kitita cha uero million 13 .

 Arsenal watakutana na vita kali kutoka kwa Olympique Maseille ya Ufaransa ambayo nayo inamsaka kipa huyo