Arsenal yaingia sokoni kwa Arda Turan
Klabu ya Arsenal imeingia sokoni kuiwania saini ya Arda Turan ilikuimarisha kikosi chake huku ikijiandaa kuwapoteza nyota wake wawili Alexis na Mesut Ozil.Arsenal wametenga dau la pauni millioni 25 kwa ajili ya kiungo huyo ambaye anaweza akauzwa na Barcelona inayotaka kukisuka upya kikosi chake na kocha mpya atakaye chukua mikoba ya Enrique.