Barcelona wanamatumaini ya kumnasa kiungo huyo baada ya kumfukuzia kwa mda mrefu lakini watakutana na wakati mgumu kutoka kwa Liverpool kulingana na masharti magumu yaliyotolewa na Liver kwa miamba hiyo kutoka Nou Camp ikiwa inania ya kumsajili kiungo huyo.
Barcelona yaongeza kasi kumfukuzia Coutinho
Barcelona imeongeza kasi katika kuisaka saini ya kiungo wa Liverpool Fillipe Coutinho baada ya kuanza mazungumzo na wakala wa kiungo huyo kutoka Brazil kwa mujibu wa sport.