Chelsea wameamua kufanya hivyo ili kuzima vishindo vya timu zilizokuwa zinamfatilia kiungo huyo.Licha ya Chelsea kuwa na matumaini yakumbakiza nyota huyo kutoka Ubelgiji msimu ujao wanataka kumpa kiungo huyo mkataba mnono ili kuzuia asiondoke klabuni hapo.
Chelsea wajipanga kumuongezea Hazard mkataba mpya
Chelsea wapo kwenye harakati ya kumuongezea mkataba mpya nyota wao Eden Hazard ilikuendelea kubaki klabuni hapo.