Inasemekana kwamba beki huyo wa kulia wa Arsenal alifanya mazungumzo ya siri na Robert Fernandez ambaye mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Barcelona na kumwambia kwamba yupo tayari kurejea katika klabu hiyo ambayo aliihama 2015 na kutimkia Arsenal.
Bellerin kutimkia Barcelona
Beki wa pembeni wa Arsenal Hector Bellerin ameirahishia kazi klabu ya Barcelona baada ya kumwambia mmoja wa viongozi wa klabu hiyo kuwa yupo tayari kurudi katika klabu hiyo yenye maskani yake Camp Nou.