Man U kumuuza Mata

United watakuwa tayari kumuuza Juan Mata katika uhamisho wa majira ya joto.

Mata atapigwa bei endapo klabu hiyo itafanikiwa kumnasa Anderson Talisca.United wapo kwenye mipango ya kuimarisha kikosi chao kuhakikisha wanarudi katika ubora wao wa siku zote baada ya kupoteza heshima yake tangu Ferguson asitafu kuinoa klabu hiyo.