Kocha huyo aliyeipa Leicester Ubingwa wa ligi kuu msimu uliopita anahusishwa na mipango ya kujiunga na timu hiyo baada ya Watford kuripotiwa kutaka kumfuta kazi meneja wake wa sasa Walter Mazzarri.
Mmiliki wa Watford Gino Pozzo anataka kumpatia kibarua muitaliano huyo baada ya kocha wa sasa kuonekana kushindwa kuiongoza vyema klabu hiyo.