Morata amekuwa na msimu mgumu katika kikosi cha Real Madrid baada ya kushindwa kujihakikishia namba katika kikosi hicho na huenda United wakatumia mwanya huo kumshawishi nyota huyo kutua Old Trafford majira ya joto.
United vitani kumwania Alvaro Morata
Manchester United wanamfukuzia kwa kasi mshambuliaji wa Real Madrid Alvaro Morata .United wapo katika kampeni za kutaka kuimarisha kikosi chao na wameripotiwa kumuwinda nyota huyo wa kimataifa wa Hispania.